How To Get Clear Skin At Home

Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

zKila mwanamke anataka picture perfect, flawless skin ,clean and beautiful skin ni moja ya element kubwa sana kwenye urembo wa mtu ,ukiwa na ngozi nzuri basi hata uta feel vizuri aidi.
1.LEMON/LIMAO
Limao ni zuri sana kwenye ku prmote clear skin,ile citric acid ambayo ipo kwenye limao itakusaidia basi ku keep your skini clear kwa kuondoa cells zilizokufa,na pia kukupa vitamin c ambayo itakusaidia kuondoa au kupunguza dark spots by increasing the cell renewal process .Limao pia lina bleaching properties hizi ni kwa kiasi kidogo kusaidia kung’arisha ngozi yako sio kwamba utachubuka .

Kata limao na kamua maji yake,then paka kwenye uso wako hadi shingoni ,acha kwa dakika 10 halafu osha na maji ya vuguvugu ,baada ya hapo chukua tango kata vipande viweke usoni au waweza paka tu yale maji yake ,hii waweza fanya kila siku .
2.TUMERIC /BINZARI YA NJANO
Binzari ile ya njano ndo Tumeric kwa kizungu ,hii ni nzuri kwenye skin lightening na inasaidia kupunguza makovu na other marks kwenye ngozi yako,pia ina alleviate allergic inflammatory and infectious skin disorders that make your skin look dull and lifeless,ile unakuta ngozi haina nuru ,imechoka

Changanya one tablespoon ya unga wa binzari na juice ya nanasi na utengeneze uju mzito ,paka usoni na shingoni cha mpaka ikauke ,halafu osha na maji ya vugu vugu ,fanya hivi kwa week mbili kuondoa alama na madoa usoni.
3.Honey
Ili kuwa na ngozi nzuri na ukaipenda unahitaji a well moisturized skin,sasa basi asali inafanya kazi nzuri sana kama moisturizer na pia ina antibacterial properties ambazo zitakusaidia kutoa infections zote,ngozi ikiwa kavu ina break na inakuwa haina afya

Paka asali yenyewe usoni na shingoni ,acha ikauke yenyewe na osha na maji ya vuguvugu,maji ambayo yapo kwenye Asali will deeply moisturize your skini ,itafanya pia iwe soft na supple,fanya hivi kila siku mara moja au kila baada ya siku moja.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.
2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published.